Teranga Lions, Atlas Lions na Super Eagles mavizioni kufuzu AFCON

Taifa Leo
Published: Mar 24, 2023 12:21:22 EAT   |  Sports

NA MASHIRIKA MABINGWA watetezi Senegal pamoja na Morocco, Mali, Algeria, Burkina Faso na Nigeria watafukuzia ushindi wa tatu mfululizo leo ili kujiweka pazuri kufuzu kushiriki Kombe la Afrika (AFCON) 2024. Teranga Lions ya Senegal iliyopepeta Benin na Rwanda, inaalika Msumbiji mjini Diamniadio. Vijana wa Aliou Cisse wana rekodi ya nzuri baada ya kushinda Msumbiji mara […]