TEKNOLOJIA: Tecno yazindua simu aina ya Phantom V Fold

Taifa Leo
Published: Mar 05, 2023 10:58:12 EAT   |  Technology

NA WINNIE ONYANDO WIKI chache baada ya kuzindua simu aina ya Phantom X2, Kampuni ya kutengeneza simu ya Tecno imezindua PHANTOM V Fold (simu inayoweza kukunjwa). Simu aina ya PHANTOM X2 sasa inajumuisha PHANTOM X2 Pro 5G (AD8), PHANTOM X2 5G (AD 9), na PHANTOM V Fold (AD10). PHANTOM V Fold ni simu ya kipekee […]