TEKNOLOJIA: Sifa za kipekee za simu aina ya Tecno Phantom X2

Taifa Leo
Published: Jan 26, 2023 06:30:17 EAT   |  Technology

NA WINNIE ONYANDO MNAMO Januari 17, 2023, kampuni ya kutengeneza simu ya Tecno ilizindua simu mpya aina ya Phantom X2 inayolenga wasanii. Simu hiyo ina sifa za kipekee inayoifanya kuwa na utendakazi bora. Simu hiyo mpya inajumuisha Phantom X2 Pro 5G na Phantom X2 5G. Baadhi ya sifa hizo ni: Muundo Tecno Phantom X2 una […]