Taulo za hedhi zilizotumika zazidi kuwa kero mitaa kadha Nairobi

NA SAMMY WAWERU WAKAZI kutoka mitaa kadhaa Kaunti ya Nairobi wanalalamikia kuendelea kutapakaa kwa taulo za hedhi na nepi za watoto. Taulo za hedhi, ni bidhaa maalum zinazotumiwa na wanawake nyakati zao za mwezi ambazo huhusishwa na utokaji damu. Nepi nazo, hufungwa watoto wachanga sehemu nyeti ili kusitiri haja; mkojo na kinyesi. Licha ya manufaa […]