Tanzia akiuawa kwa tuhuma kuiba mihogo

Na ALEX KALAMA MWANAMUME ameuawa katika kijiji cha Patanani Shimba Hills, Kaunti ya Kwale kwa madai ya kuiba mihogo shambani. Mwero Muzi, 45, alishambuliwa Jumatatu, Mei 29, 2023 baada ya kuonekana aking’oa mihogo kwenye shamba la jirani yake. Kulingana na ripoti ya polisi, wananchi walimkamata na kumuua papo hapo. Kassim Koi, mkuu wa polisi […]