Tanzania yatesa soko la kitunguu kwa ‘kususia’ kilimo

NA MWANGI MUIRURI WAKULIMA, madalali na wachuuzi wa kitunguu nchini wanaendelea kuvuna pato la juu lililoongezeka hadi kwa asilimia 875 tangu Februari. Kilo moja ya aina ya kitunguu chekundu ilikuwa ikinunuliwa kwa Sh20 mwezi wa Februari lakini kwa sasa ni Sh195 katika maeneo mengi ya nchi. Wanapovuna vinono, ni kilio kwa watumizi bidhaa hiyo katika […]