Tanzania yaambia raia waweke akiba nzuri ya mchele na mafuta sababu ya hali ngumu

Na HAMIDA SHARIFF Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Dkt Ashatu Kijaji amesema kupanda kwa bei ya mchele na mafuta ya alizeti mwezi Septemba, kunatokana na mahitaji ya bidhaa hizo kubwa makubwa hivyo amewataka Watanzania kuweka akiba ya chakula. Dkt Kijaji anaamini kuwa akiba hiyo ya chakula itasaidia wananchi kuepuka kununua chakula hicho kwa […]