Tanasha Donna ampa Mama Dangote zawadi ya ‘birthday’

NA FRIDAH OKACHI MAMAKE msanii wa jina kubwa Diamond Platnumz, Mama Dangote amepokea zawadi ya manukato na maua kutoka kwa Tanasha Donna ambaye aliwahi kutoka kimapenzi na mwanamuziki huyo. Tanasha Donna na Diamond walifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye ni mjukuu wake Mama Dangote. Juma hili, siku ya Jumatano, Sandra Sanura almaarufu Mama Dangote alitoka kwenye […]