TAHARIRI: Serikali itilie mkazo elimu ya wanafunzi wa Gredi ya 7

Taifa Leo
Published: Mar 01, 2023 08:33:31 EAT   |  Educational

NA MHARIRI RIPOTI zimeibuka kuwa wanafunzi wa Gredi ya 7, ambao ndio waasisi wa mfumo mpya wa elimu (CBC), hawafundishwi ipasavyo kutokana na changamoto nyingi. Changamoto kuu kati ya hizo ni uhaba wa walimu. Kwamba serikali inategemea mwalimu mmoja au wawili walioajiriwa majuzi na tume ya TSC, kufundisha wanafunzi wa daraja hiyo. Baadhi ya shule, […]