TAHARIRI: Raia atazidi kuumia bila ukomavu wa kisiasa

Taifa Leo
Published: May 10, 2022 17:33:26 EAT   |  News

NA MHARIRI MATUKIO ya kisiasa yanayoendelea kushuhudiwa nchini yanazidi kuthibitisha kuwa, raia bado hatiliwi maanani sana katika mipangilio ya siasa za kitaifa. Kwa wiki kadha sasa, mijadala tele imekuwepo kuhusu makubaliano ndani ya miungano mikuu ya kisiasa. Baadhi ya vyama vimekuwa vikilalamikia kutengwa katika mipango ya miungano hiyo licha ya kuwa na mikataba ya maelewano. […]