TAHARIRI: Hotuba ya Uhuru ichochee kuondoa ubaguzi na dhuluma

Na MHARIRI RAIS Uhuru Kenyatta alitoa hotuba ya Jamhuri Dei jana Jumapili ambayo wapenzi wa historia bila shaka wataiona kuwa ya kusisimua. Ilikuwa hotuba iliyosheheni historia ndefu ya taifa letu kuanzia enzi za ukoloni na juhudi za upiganiaji uhuru hadi pale ambapo nchi ya Kenya iliweza kuwa jamhuri. Rais alieleza kwa kirefu kiini cha kukongamana […]