Soshiolaiti Vera Sidika aduwaza mashabiki kudai bidhaa zote za wanawe huagiza ng’ambo

Na MERCY KOSKEI SOSHIOLAITI Vera Sidika, amewaacha wanamitandao vinywa wazi baada ya kudai kuwa hununua nguo za watoto wake wawili nchini Marekani kutokana na ubora wake. Kupitia kwa mtandao wake wa kijamii wa Intagram (Instastories), Alhamisi Septemba 28, 2023,Vera ambaye kwa sasa yuko Marekani, alisema kuwa alienda kufanya manunuzi na kuishia kununua nguo za Asia na Ice […]