Sitisha maandamano wakati wa Ramadhan, wabunge Waislamu wamwambia Raila

Taifa Leo
Published: Mar 22, 2023 15:59:32 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA BAADHI ya wabunge Waislamu sasa wanamtaka kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga asitishe maandamano wakati huu ambapo Waislamu kote ulimwenguni wanaadhimisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Wakiongozwa na mbunge wa Nyali Mohammed Ali almaarufu Jicho Pevu, viongozi hao wamesema ghasia kama zilizoshuhudiwa katika maandamano yaliyofanyika katika miji ya Nairobi na Kisumu […]