Silafrica: Yatengeneza bidhaa za plastiki na kusaidia katika uhifadhi wa mazingira

NA MAGDALENE WANJA KWA muda wa zaidi ya miongo minne, kampuni ya Silafrica imekuwa ikiongoza katika utengenezaji wa mikebe ya kupakia iliyotengenezwa kwa plastiki. Kampuni hii hutengenezea kampuni mbalimbali nchini ambazo ziko katika biashara ya bidhaa kama vile vyakula, vinywaji, mafuta, siagi, gururu na tangi za plastiki za kufadhia maji. Mkurugenzi mkuu Bw Akshay Shah […]