Shule zalia shida Serikali ikikosa kuzitumia pesa

Taifa Leo
Published: Sep 14, 2023 15:55:11 EAT   |  Educational

Na DAVID MUCHUNGUH WIKI tatu baada ya shule kufunguliwa kwa muhula wa tatu, Wizara ya Elimu bado haijatuma pesa kwa shule za umma. Kutokana na hilo, baadhi ya shule zimeanza kuwatuma wanafunzi nyumbani kwa kutolipa karo huku wengine wakitarajiwa kufukuzwa shuleni wiki ijayo. Serikali humlipia kila mwanafunzi wa sekondari Sh22, 244, yule wa shule za […]