Shule zalalamikia kucheleweshwa mgao wa hela

Taifa Leo
Published: Feb 27, 2023 10:56:46 EAT   |  Educational

NA DAVID MUCHUNGUH WALIMU wakuu wa shule wamelalamikia kucheleweshwa kwa mgao wa Sh9.6b kwa muhula wa kwanza, mwezi mmoja tangu wanafunzi wa Gredi 7 walipojiunga na shule. Walimu wakuu waliozungumza na Taifa Leo wamelalamika kuwa kazi yao imetatizika kwa sababu kanuni za Wizara ya Elimu zinazohusu utekelezaji wa Sekondari za Msingi (JSS) zinaagiza kuwa kitengo […]