Shule zageuza madarasa kuwa vyumba vya malazi

NA WAANDISHI WETU WALIMU wakuu wa shule katika maeneo ya Nyanza na Magharibi jana Jumatatu walilazimika kugeuza madarasa kuwa vyumba vya malazi ili kutosheleza idadi kubwa ya wanafunzi walioripoti katika shule hizo kujiunga na Kidato cha Kwanza. Katika shule nyingi, idadi ya wanafunzi waliofika ilizidi ile zinaweza kutosheleza kulingana na nafasi zilizo nazo.Maafisa wa Wizara […]