Shule yapiga abautani kudai mwanafunzi aliyefariki alikunywa ethanol kwingineko

Taifa Leo
Published: Sep 13, 2023 10:48:39 EAT   |  Educational

NA EVANS JAOLA USIMAMIZI wa Shule ya Upili ya Kapsitwet katika Kaunti ya Trans Nzoia sasa imekanusha kwamba mwanafunzi aliyeaga dunia mnamo Jumatatu alikunywa ethanol katika shule hiyo. Wasimamizi wa shule hiyo wamejitenga na madai kwamba wanafunzi wawili walikunywa ethanol shuleni humo. Mwanafunzi Steve Rodgers wa Kidato cha Nne aliaga dunia huku mwingine akiwa nyumbani […]