Shinikizo maspika wa mabunge yote wawe na digrii

NA COLLINS OMULO SHINIKIZO za kuwataka maspika wa Bunge la Kitaifa na mabunge ya Kaunti kuwa wamefuzu kwa shahada ya digrii zimeshika kasi, huku waundasheria wakijadili mswada uliowasilishwa kwa Seneti. Mlalamishi, Simon Lenguiya, amehoji kuwa hali ya kukosa maarifa ya kielimu na kitaaluma yanayohitajika ili mtu ateuliwe kama spika wa asasi tatu za uundaji sheria, […]