Shakahola: Awamu ya pili ya upasuaji maiti yakamilika katika mochari ya Malindi

Taifa Leo
Published: May 31, 2023 20:23:20 EAT   |  News

NA ALEX KALAMA WATAALAMU wa upasuaji wa maiti wametamatisha awamu ya pili ya upasuaji wa maiti za Shakahola mnamo Jumatano katika mochari ya Hospitali Kuu ya Malindi. Jumla ya miili 16 imefanyiwa uchunguzi. Akizungumza baada ya kukamilisha shughuli hiyo, mwanapatholojia mkuu wa serikali Dkt Johansen Oduor ameeleza kuwa yule mtu aliyefariki katika hospitali ya Malindi […]