Shakahola: Awamu ya nne upasuaji maiti yaanza

Taifa Leo
Published: Jul 26, 2023 13:43:03 EAT   |  Travel

NA ALEX KALAMA AWAMU ya nne ya upasuaji wa maiti zilizoondolewa kwenye makaburi yaliyofukuliwa ndani ya msitu wa Shakahola imeanza ambapo miili 10 imefanyiwa uchunguzi. Miili tisa ilikuwa ya watoto huku mwili mmoja ukiwa wa mtu mzima. Akihutubia wanahabari baada ya kumaliza shughuli hiyo ya Jumatano katika hifadhi ya maiti ya Hospitali Kuu ya Malindi, […]