Serikali yaondoa hitaji la vitambulisho kwa wanafunzi kuomba mikopo ya elimu ya juu

Taifa Leo
Published: Aug 30, 2023 05:39:56 EAT   |  Educational

NA CHARLES WASONGA  SASA wanafunzi ambao hawajatimiza umri wa miaka 18 wanaweza kutuma maombi na kupokea mikopo na ufadhili wa aina nyingine yoyote kupiga jeki elimu yao ya vyuo vikuu. Hii ni baada ya Baraza la Mawaziri Jumanne kuondoka hitaji kwamba sharti wanafunzi wawe na vitambulisho vya kitaifa kabla ya maombi yao ya ufadhili kushughulikiwa. […]