Serikali yakubali tope la Shakahola

Taifa Leo
Published: May 31, 2023 14:00:23 EAT   |  News

MARY WAMBUI Na ALEX AMANI SERIKALI imekubali kubeba lawama kwa kushindwa kuzuia kutokea kwa vifo vya watu kwenye msitu wa Shakahola. Waziri wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki akihutubia wanahabari jijini Nairobi leo Jumatano amesema kulikuwa na utepetevu na maafisa wa usalama walizembea wakashindwa ‘kugundua’ na kuzuia maafa ya wanaoaminika kuwa walikuwa wafuasi wa mhubiri […]