Serikali yaendelea kuchemsha chuma cha kuchoma Al-Shabaab

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 11:39:24 EAT   |  News

NA ALEX KALAMA SERIKALI ya kitaifa kupitia Wizara ya Usalama wa Ndani nchini imewahakikishia wakazi wa Pwani, Kaskazini Mashariki na Wakenya kwa ujumla kwamba inaendelea kutumia nguvu zote kukabiliana na ugaidi. Akizungumza na wanahabari mjini Malindi mnamo Alhamisi, katibu katika Wizara ya Usalama wa Ndani Dkt Raymond Omollo amesema mikakati hiyo, ikiwemo vikao na wakuu […]