Serikali kuuza taasisi bila kuhusisha Bunge

Taifa Leo
Published: Mar 23, 2023 05:22:36 EAT   |  News

LEONARD ONYANGO Na CHARLES WASONGA SERIKALI sasa inapanga kuuza kampuni, baadhi ya vyuo vikuu na mashirika ya umma ambayo yamekuwa yakipata hasara bila idhini ya wabunge. Ikiwa Mswada wa Ubinafisishaji wa 2023, utapitishwa na Bunge, Waziri wa Fedha atapata mamlaka ya kuuza mashirika na kampuni za umma bila kuulizwa maswali.Rais Ruto jana alisema kutafuta idhini […]