Seneta Omtatah kuelekea kortini kupinga mpango wa ubinafsishaji wa mashirika ya serikali bila idhini ya Bunge

Taifa Leo
Published: Mar 23, 2023 08:11:59 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA SENETA wa Busia Okiya Omtatah ameapa kuwasilisha kesi mahakamani kupinga mpango wa Rais William Ruto wa kuuza mashirika ya serikali bila idhini ya Bunge. Bw Omtatah alisema ataelekea kortini wiki ijayo kuzuia kujadiliwa kwa Mswada wa Ubinafsishaji, 2023 “kwa sababu bunge limetekwa na Ikulu ya Rais”. “Sharti Wakenya wasimame na kutekeleza mamlaka […]