Sekta za elimu na miundomsingi zatengewa kiasi kikubwa cha mgao wa bajeti

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 09:39:55 EAT   |  Educational

EDWIN MUTAI Na CHARLES WASONGA SEKTA za elimu, miundomsingi na ulipaji deni ndizo zitafyonza sehemu kubwa ya mgao wa fedha katika Bajeti ya kwanza ya Rais William Ruto ya kima cha Sh3.6 trilioni, Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu Bajeti (BAC) imefichua. Kamati hiyo, kwenye ufichuzi usio wa kawaida, inasema kuwa imetenga Sh600 bilioni kwa […]