Samidoh adai alitaka kuwa wakili, akifichua alama zake za KCPE

Taifa Leo
Published: Sep 17, 2023 10:30:29 EAT   |  Educational

NA MERCY KOSKEI MSANII Samuel Muchoki Ndirangu almaarufu Samidoh amewaacha mashabiki wake vinywa wazi kufuatia chapisho la cheti chake cha mtihani wa kitaifa wa darasa la nane (KCPE). Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Samidoh alichapisha mnamo Jumamosi Septemba 16, 2023 picha ya cheti chake cha KCPE iliyofichua alikamilisha masomo ya shule ya msingi 2004. Mwanamuziki […]