Salasya: Natafuta mwanamke Mzungu wa kuoa

NA MERCY KOSKEI Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya amefichua kuwa anatafuta mwanamke Mzungu wa kuchumbiana naye. Mwanasiasa huyo mcheshi kupitia kwa mtandao wake wa kijamii wa Twitter Alhamisi Septemba 28, 2023, alichapisha kuwa anataka kuoa mwanamke mzungu, jambo lililoibua hisia tofauti mitandaoni. “Nimetamani sana kuchumbiana na mwanamke mzungu kwa muda mrefu. Nataka mwanamke Mzungu […]