Sababu ya mizinga 19 kufyatuliwa badala ya 21

Taifa Leo
Published: Apr 30, 2022 07:17:04 EAT   |  News

NA WANGU KANURI HAYATI Rais Mstaafu, Mwai Kibaki atapewa heshima ya mizinga 19 kabla ya kuzikwa nyumbani kwake Othaya, Kaunti ya Nyeri leo Jumamosi. Mazishi ya Kibaki ndiyo ya tatu nchini kusherehekea kwa mizinga baada ya mtanguzli wake, Rais Daniel Arap Moi na Mzee Jomo Kenyatta ambaye alifariki akiwa madarakani 1978. Sawa na Moi, Kibaki […]