Saba wafariki kwenye ajali matatu zilipogongana Kaunti ya Kilifi

MAUREEN ONGALA na WACHIRA MWANGI WATU saba walifariki katika ajali ya barabarani usiku wa kuamkia jana, Kaunti ya Kilifi. Ajali hiyo iliyotokea mwendo wa saa moja unusu eneo la Roka, barabara kuu ya Kilifi-Malindi, ilisababisha vifo vya watu wanne papo hapo, na wengine wakafariki walipofikishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Kilifi. Kamanda wa […]