Ruto akome kuwashika mateka magavana wa Azimio – Raila

NA WACHIRA MWANGI KINARA wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga amedai kwamba Rais William Ruto anawatolea vitisho na kuwahangaisha magava wa mrengo wa Azimio, hali inayowanyima mazingira tulivu ya kutekeleza kazi zao. Bw Odinga amesema serikali imeteka baadhi ya majukumu ya magavana kinyume na katiba hali ambayo imewafanya magavana wake kushindwa kutekeleza kazi zao […]