Rufaa yatupwa, magaidi 2 kukaa jela miaka 41

NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu Ijumaa imefutilia mbali rufaa iliyowasilishwa na magaidi wawili walioua wanafunzi 148 wa Chuo Kikuu cha Garissa 2015. Jaji Cecilia Githua ameamuru wakili Mohammed Ali Abdikadir na Hassan Aden Hassan watumikie vifungo vya miaka 41 jela kila mmoja. Gaidi Rashid Charles Mberecero ambaye alikuwa raia wa Tanzania aliyefungwa kifungo cha maisha […]