Reuben Kigame aitaka Azimio isitishe vitisho kugawa nchi

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 09:40:39 EAT   |  General

NA TITUS OMINDE ALIYEKUWA mgombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa 2022 Reuben Kigame ametaka kiongozi wa Azimio la Umoja – One Kenya Raila odinga kuachana na ajenda ya kugawanya nchi ya Kenya. Akihutubu mjini Eldoret, Bw Kigame alisema njia bora ya kuleta mabadiliko nchini na uongozi bora si kutaka kugawa nchi kama alivyotishia […]