Real Madrid wakomoa Atletico kwenye gozi kali la Madrid

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 15:27:54 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA REAL Madrid walishinda mechi ya 10 mfululizo na kufungua mwanya wa alama nane kileleni mwa jedwali baada ya kupepeta Atletico Madrid 2-0 katika gozi kali la Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) mnamo Jumapili usiku. Chini ya kocha Carlo Ancelotti, Real kwa sasa wanaselelea kileleni mwa jedwali kwa alama 42. Sevilla wanakamata nafasi […]