Rangers kumenyana na Dortmund kwenye mchujo wa Europa League

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Scotland, Rangers, watapimana ubabe na Borussia Dortmund ya Ujerumani katika mchujo wa raundi ya muondoano kwenye Europa League msimu huu. Kwa upande wao, Barcelona waliobanduliwa mapema katika Kundi E kwenye Klabu Bingwa Ulaya (UEFA), watakwaruzana na Napoli ya Italia. Rangers walikamilisha kampeni za Kundi A katika nafasi […]