Rais Ruto awateua makatibu wawili wa wizara kujaza nafasi zilizotokea

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto mnamo Mei 31, 2023 amependekeza watu wawili wapya kwa uteuzi kuwa Makatibu wa Wizara. Bi Salome Wairimu Muhia-Beacco ameteuliwa kuwa Katibu wa Idara ya Magereza katika Wizara ya Usalama wa Ndani, kuchukua pahala pa Esther Ngero aliyejiuzulu juzi. Bi Muhia-Beacco ni Wakili wa Mahakama Kuu mwenye tajriba ya miaka […]