Rais Ruto awasili akiwa amechelewa Embu kuadhimisha Madaraka Dei 2023

NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto alichelewa kuwasili katika Uwanja wa Moi, Embu ambako maadhimisho ya Madaraka Dei 2023 yanafanyika, Alhamisi, Juni 1. Dkt Ruto anaongoza taifa kuadhimisha Sikukuu hii ya Juni 1 kila mwaka, inayoandaliwa kusherekea Kenya kupata uhuru wa ndani kwa ndani kujitawala kutoka kwa serikali ya Mbeberu 1963. Kinyume na itifaki […]