Rais Biden aanguka baada ya kuongoza hafla ya kufuzu kwa wanajeshi

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 07:11:20 EAT   |  News

Na MASHIRIKA RAIS wa Amerika Joe Biden mnamo Alhamisi alijikwaa na kuanguka baada ya kuongoza hafla ya kufuzu kwa wanajeshi katika Chuo cha Mafunzo ya Kikosi cha Wanajeshi wa Angani mjini Colorado, Amerika. Wanajeshi na walinzi wake walichukua hatua za haraka kumsaidia na kumnyanyua Rais huyo mwenye umri wa miaka 80. Hata hivyo, aliwahakikishia walinzi […]