Rais apuuza itifaki za kijeshi na kuamuru waliofungiwa nje ya uwanja waruhusiwe kuingia

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 11:04:03 EAT   |  News

NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto Alhamisi, Juni 1, 2023 alipuuza itifaki za kijeshi kuhusu hafla za kitaifa, ambapo baada ya kiongozi wa nchi kuingia ukumbini hakuna yeyote anayeruhusiwa kumfuata. Katika maadhimisho ya Madaraka Dei 2023, yaliyofanyika Kaunti ya Embu, Dkt Ruto kabla kualika baadhi ya wageni mashuhuri kuzungumza na kutoa rasmi hotuba yake, aliagiza […]