Raila amsherehekea Mama Ida kwa mtindo katika hoteli ya kifahari

MWANDISHI WETU KINARA wa upinzani Raila Odinga alionyesha mapenzi yake kwa mkewe Ida Odinga katika siku ya kuzaliwa kwake Agosti 24th. Wapenzi hao ambao pia walikuwa wakisherehekea miaka 50 kwenye ndoa, walijongewa na marafiki, wanasiasa, ndugu na jamaa katika hoteli ya kifahari ya Villa Rosa Kempinski, Nairobi. Wanasiasa hao ni pamoja na Martha Karua, Kalonzo […]