‘Pulahia’ maisha: Akothee awakumbusha ameoleka akitaja mume wake kuwa hodari wa mahaba 

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 13:50:50 EAT   |  Entertainment

NA SAMMY WAWERU SIKU kadha zimepita tangu mwanamuziki Esther Akoth ‘Akothee’ asafiri Uswizi (Switzerland), aliko bwanake Dennis Schweizer, Akitangaza Mei 19, 2023 kupitia mitandao ya kijamii, Akothee alisema ameenda kufuatia agizo la mumewe maarufu kama ‘Omosh’. “Kwaherini, @BwOmosh ameagizia mkewe. Ninapenda kuwa kwenye ndoa,” alichapisha katika ukurasa wake rasmi wa Facebook. Kilichozua ucheshi zaidi mitandaoni, ni […]