Polisi wazima krusedi ya Pasta Ezekiel mjini Kilifi

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 06:38:59 EAT   |  News

NA MAUREEN ONGALA POLISI wametia breki krusedi kubwa ya mhubiri wa kanisa la New Life Prayer Centre and Church, Ezekiel Odero. Pasta Ezekiel alikuwa amepanga kuwa na ibada katika shamba la Kwa Kenga Mupa kwenye makutano ya kwenda eneo la Basi katika barabara kuu ya Kilifi-Malindi kwa siku tano. Kamanda wa polisi wa Kilifi Kaskazini […]