Polisi wawili wauawa na Al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 15:24:43 EAT   |  News

NA MANASE OTSIALO MAAFISA wawili wa polisi wameaga dunia huku wengine watano wakijeruhiwa kwenye shambulio la kigaidi katika Kaunti ya Mandera mnamo Ijumaa. Shambulio hilo limetokea kwenye barabara ya Elele-Takaba katika kaunti ndogo ya Mandera Kusini saa nne asubuhi. Chanzo kutoka kwa maafisa wa usalama kimesema msafara wa maafisa wa kitengo kilicho Elele wameshambuliwa na wanaoshukiwa […]