Polisi adaiwa kumjeruhi dereva ndani ya seli kwa bifu ya hongo

Taifa Leo
Published: Mar 29, 2024 03:50:23 EAT   |  News

NA OSCAR KAKAI POLISI mmoja anatuhumiwa kumpiga na kumjeruhi vibaya dereva wa matatu inayohudumu kwenye barabara ya Kitale-Kapenguria akiwa ndani ya seli katika kituo cha polisi cha Kapenguria, Kaunti ya Pokot Magharibi. Inadaiwa afisa huyo alimuumiza dereva huyo katika sehemu nyeti mnamo Machi 20, 2024. Inadaiwa pia alikuwa amekerwa kwa kunyimwa hongo siku za awali […]