‘Poesha’ si neno sanifu, mwafaka zaidi ni poza

Taifa Leo
Published: Jan 21, 2022 14:40:46 EAT   |  General

NA ENOCK NYARIKI KATIKA makala yaliyotangulia tulieleza kwamba awali neno ‘poesha’ lilitumiwa na baadhi ya watu kwa maana ya kitendo cha kutia uvuguvugu kitu moto kama vile uji, chai, maziwa, supu n.k. Tulihitimisha kwa hoja inayosema kwamba maneno yaliyonyambuliwa kwa njia tofauti katika kauli ya kutendesha (ambayo matumizi yake ni sawa au yanakaribiana) si mengi. […]