Pigo kwa Uhuru na Kioni, msajili wa vyama vya kisiasa akidinda kuidhinisha maamuzi ya NDC

NA CHARLES WASONGA KWA mara nyingine juhudi za Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kurejesha udhibiti wake wa chama cha Jubilee zimepata pigo baada ya msajili wa Vyama Vya Kisiasa Anne Nderitu kudinda kuidhinisha maafisa wapya walioteuliwa Mei. Maafisa hao wapya waliteuliwa katika kongamano maalum la wajumbe wa Jubilee (NDC) lililofanyika Mei 22, 2023 katika uwanja wa […]