Pigo kwa uchumi pato la kilimo likishuka mno

Taifa Leo
Published: May 06, 2022 13:13:36 EAT   |  Business

LEONARD ONYANGO na CECIL ODONGO RIPOTI ya Kuhusu Hali ya Uchumi wa Nchi 2022 Alhamisi ilifichua kuwa sekta ya Kilimo iliathirika zaidi mwaka 2021 kimapato ikilinganishwa na 2020. Kiwango cha mapato kilipungua kutoka asilimia 5.2 hadi asilimia tano. Ukosefu wa mvua ulichangia kupungua kwa mavuno katika sekta ya majanichai, mahindi na ngano. Kwa mujibu wa […]