Pigo kwa Lenku waziri wa Elimu Kajiado akivuliwa cheo

NA STANLEY NGOTHO GAVANA Joseph Ole Lenku wa Kajiado amepata pigo baaada ya Bunge la Kaunti kupitisha hoja ya kumwondoa mamlakani Waziri wa Elimu, Taasisi za Kiufundi, Vijana na Michezo baada ya mvutano uliodumu kwa mwezi mmoja. Hata hivyo, Waziri wa Utumishi wa Umma, Alais Kisota, alinusurika kuondolewa mamlakani baada ya kamati iliyokuwa ikimchunguza kwa […]