Pigo KPA ikipoteza ardhi ya mamilioni

Taifa Leo
Published: May 10, 2022 10:25:49 EAT   |  News

NA BRIAN OCHARO MAMLAKA ya Bandari za Kenya (KPA), imepata pigo baada ya kupoteza kesi ambayo ilitaka kupewa ardhi ya thamani ya mamilioni ya pesa kutoka kwa mfanyabiashara Ashok Doshi. Mahakama ya Mazingira na Ardhi mjini Mombasa imetupilia mbali kesi hiyo iliyowasilishwa mahakamani na KPA miaka 17 iliyopita dhidi ya kampuni ya Supernova Properties Ltd, […]